Killy – Roho (Official Music Video)
Roho is a Swahili Word in English Means (Soul) On this Song Killy tries to tell his love if you were tired you would tell me rather than leaving without even saying the reason why you ran away you would have written atleast a letter.
Song was produced by Terriyo from Imagination sound
The Video Was Shot By Director Elvis from RedShot (Tanzania)
Download/Stream In All Digital Platforms
https://smartklix.com/Roho
Follow Killy
Instagram: https://www.instagram.com/Officialkilly_tz/
Twitter: https://twitter.com/officialkilly_tz
Facebook: https://web.facebook.com/Officialkilly255
Listen to Killy
YouTube: https://www.youtube.com/c/Officialkilly/
Audiomack: https://audiomack.com/Officialkilly
Apple Music : https://music.apple.com/tz/artist/killy/1439528369
Spotify : https://open.spotify.com/artist/773b7Wnb116Ej4kuk9Osac?si
Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/5886964?from=search&sr
The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Killymanagement3@gmail.com
Call: +255 652 892 317
Lyrics
VERSE 1:
Asubuh kumepambazuka wa ubavu sikuoni iih
Nshazoea tunaamka wawili majirani ntawatazamaje usoni
Naanza kusali naomba kwa rabuka hiki kipengele siponi
mi si nitabaki kiwiliwili ina maana nliyofanya yote huyaoni
Kipi nimetenda kibaya au kukupenda nlifanya vibaya dah
Eti na nguo sizioni umefungasha virago vyote umefunga funga
Umeniacha kwa ubaya ila sina budi kukubali haya aah..!!
Yani niwe wa vichochoroni
(etii)
anaepita mbele sindano niwe dunga dunga
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho
CHORUS:
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)
VERSE 2:
Umeshazima koroboi ona kwa page
za udaku wameweka nukta nukta
Sina uzima sitoboi hunitaki katu na mchanga umeputa puta
Umeweka dhima niko hoi hutaki nithubutu umeweka tuta tuta
Yamezizima sichomoi kisu changu butu nyama inajivuta vuta
Umeondoka bila kusema sababu iliyokufanya uende
ungeandika hata barua ningeisoma nitake ama nisipende
Hata kama umenichoka ya nyuma ungevuta taswira
(Taswira aaah)
Wakati mbali tumetoka imekuaje umeweza kuzira aaah
(Kuzira aaah)
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah..!!
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho
CHORUS:
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)
#Killy #Roho #KondeMusic
Recent search terms:
- wimbo hivi kweli darlin umekosa uvumilivu mpaka u
- LAAGELAATA SOODU VADHINE | NEW FOLK SONG 2021 | #LAVANYA #PARSHURAMNAGAM...
- TBreezy — "Bahama" (Official Music Video)
- Sa-Roc feat David Banner: The Who? (Official Music Video) Produced by: ...
- Khecheda Kala Mate | Music Video | Lubun-Tubun | Humane Sagar | Neha | S...
- (No Copyright Music) Funny Background Music
Big up kazi nzuri
Mpinzani wa zuchu in angella wa diamond ni jeshi AkA tembo konde boy,huyu killy ni mpinzani wa rayvann wasafi kwishaa..
Oya hii ngoma ni above everthing
Good music ? all day
Killy to the world
Killy is a pure talent , Kenya tumekujua sasa
Killy ni Dangerous sana kwa wasafi wah Mondi Huna Bahati Konde Gang ishakuwa for Everybody ??????
Nice
This is beautiful
Song kali
Song kali
Song kali
❤❤❤❤❤❤❤
Ngomaa qaliii kaza janja mziki vita waganga n wengi?
???
???
???
???
????
Kiufup tangu imetoka Audio mpk kesho bdo naickiliza…kuna v2 flan hum ndan,mzik unauweza kaka
Mimi ndo mkaguzi mkuu WA nyimbo kali Tz……. Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS ?
????????????????❤❤❤❤❤❤